Saturday, September 25, 2010

waziri asha akizindua kampeni ya upimaji VVU

Waziri wa kazi maendeleo ya vijana wanawake na watoto mheshimiwa Asha Abdalla Juma akirusha njiwa kuashiria uzinduzi wa kampeni ya vijana ya upimaji wa hiari wa VVU uliofanyika katika viwanja vya Kisonge mjini unguja. 

1 comment:

  1. NI MIAKA MIWILI SASA, JEE TUNAWEZA KUPIMA NA KUFANYA TATHMINI YA MAFANIKIO, MUITIKO NA CHANGAMOTO ZA KAMPENI HII.

    WADAU PAMOJA NA WAHUSIKA WANALIFIKIRIA HILI?

    ReplyDelete